Product description
Kitabu kina maswali 63 na majibu yake, yakiwa katika sura sita zifuatazo:
1. Ajira za Mamlaka ya Hakimu
2. Wajibu wa Hakimu
3. Malalamiko dhidi ya Mienendo ya Mahakimu
4. Maboresho ya Utoaj
..
read more
Kitabu kina maswali 63 na majibu yake, yakiwa katika sura sita zifuatazo:
1. Ajira za Mamlaka ya Hakimu
2. Wajibu wa Hakimu
3. Malalamiko dhidi ya Mienendo ya Mahakimu
4. Maboresho ya Utoaji Huduma katika Mahakama
5. Wajibu wa Serikali na jamii kwa Mahakama
6. Mapendekezo ya Kuboresha Utoaji Haki Mahakamani
Kwa kutumia uzoefu kama wakili, mwalimu na msomi wa sheria, Mwandishi amerejea na kunukuu serhemu muhimu za vitabu vya Sheria 8, Sheria 6, Nyaraka mbalimbali 4 na kesi 40 ili kujenga na kuimarisha na kutetea hoja yake juu ya haki na kero Mahakamani
Kwa vile kuna uwezekano mtu yeyote siku moja kujikuta yuko mbele ya Hakimu mahakamani, ni busara kusoma kitabu hiki,
ni matumaini yetu kuwa wananchi na walengwa(baadhi ya mahakimu wanaotelekeza majukumu yao bila kuzingatia Sheria) baada ya kukisoma, hapatakuwepo tena kero Mahakamani
read less