Product description
Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 10 chapters:
1. Asili,Historia na Kuenea kwa Migomba.
2. Matatizo ya Kilimo cha Migomba.
3. Aina na Matumizi ya Migomba na Ndizi.
4. Sehemu Kuu za Mgomba,Ukuuaji wake na Mahitaji y
..
read more
Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 10 chapters:
1. Asili,Historia na Kuenea kwa Migomba.
2. Matatizo ya Kilimo cha Migomba.
3. Aina na Matumizi ya Migomba na Ndizi.
4. Sehemu Kuu za Mgomba,Ukuuaji wake na Mahitaji ya Mbolea.
5. Mahitaji ya Kimazingira ya Migomba.
6. Uanzishaji wa Shamba la Migomba.
7. Utunzaji wa Shamba la Migomba.
8. Magonjwa ya Migomba.
9. Wadudu Waharibifu na Minyoo ya Mizizi ya Migomba.
10. Ukomaaji, Uvunaji na Uuzaji wa Ndizi.
Maelezo mafupi ya kitabu
MIGOMBA: Uanzishaji na Utunzaji wa Shamba ni kitabu kinachomfundisha mkulima mpya na hata mwenye uzoefu, namna ya kuanzisha shamba jipya la migomba na kulitunza vizuri. Kitabu kinaeleza pia asili na historia ya zao hili, sayansi ya mmea, uvunaji na uuzaji wa ndizi.
read less