Product description
Nadharia ya Lugha-Kiswahili 1: Kidato cha Tano na Sita; ni kitabu eha kwanza eha aina yake na pekee ambaeho kimeandikwa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Kimekusudiwa kiwafae wanafunzi wa Kidato eha Tano na Sita hapa nehini Tanzania. Pia kimelenga kuwa
..
read more
Nadharia ya Lugha-Kiswahili 1: Kidato cha Tano na Sita; ni kitabu eha kwanza eha aina yake na pekee ambaeho kimeandikwa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Kimekusudiwa kiwafae wanafunzi wa Kidato eha Tano na Sita hapa nehini Tanzania. Pia kimelenga kuwasaidia walimu, wahadhiri, wakufunzi na wanafunzi wa vyuo katika ngazi mbalimbali wanaosoma Kiswahili hapa Afrika Mashariki na nehi nyingine duniani. Kitawafaa sana wanazuoni, watafiti, wafasiri na wakalimani. Hiki ni kitabu eha lazima kwa kila mwanafunzi wa sekondari, ehuo na ngazi nyinginezo anayesoma Lugha ya Kiswahili. Katika safu ya Vitabu vya Lugha ya Kiswahili hiki ni kitabu ehenye ubora wa viwango vya juu kabisa. Si kitabu eha kukosa!
J.A. Masebo ni msomi na mwanazuoni aliyebobea katika tasnia ya uandishi, uhariri na uehambuzi wa somo la Lugha ya Kiswahili. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Kafule iliyopo Ileje-Songwe. Aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Kafule-Songwe na Sengerema-Mwanza. Baada ya hapo alijiunga na Chuo Kikuu eha Dar es Salaam kusomea Shahada ya Sanaa ambapo alihitimu na kutunukiwa Shahada hiyo upande wa Ualimu katika masomo ya Kiswahili na Historia. Amewahi kufundisha katika sekondari mbalimbali kama vile Kafule, Mkwawa, Makongo, Midlands na Lord Baden Powell Memorial High School. Pia amewahi kushiriki matamasha, makongamano, semina na warsha mbalimbali ndani na nje ya nehi kuhusu Lugha na Fasihi ya Kiswahili. Kwa sasa ndugu Masebo ni mwandishi, mhariri, mhakiki na mehambuzi wa Lugha na Fasihi ya Kiswahili katika viwango mbalimbali vya elimu.
Nyambari Chacha Mariba Nyangwine ni msomi, mwandishi, mhariri, mhakiki, mehambuzi na mwanasiasa. Amebobea sana katika uehambuzi wa Lugha na Fasihi. Ni rnzaliwa wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara nehini Tanzania. Alisoma katika shule za Mangueha na Kangariani, Mara Sekondari na Mkwawa Sekondari. Alisomea Lugha na Fasihi katika Chuo Kikuu eha Dar es Salaam na kutunukiwa Shahada ya B.A (Hons). Amesomea Shahada ya Uzamili ya Uongozi (M.A-Leadership) katika Chuo Kikuu eha Chester nehini Uingereza. Ni mshiriki wa semina, makongamano, warsha na mihadhara inayohusu Lugha na Fasihi ya Kiswahili katika nehi mbalimbali. Amewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha wananehi wa Jimbo la Tarime. Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Makampuni ya Nyambari Nyangwine (Nyambari Nyangwine Group of Companies).
read less