Product description
A: Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 9 chapters:
1. Asili, Makundi, Aina, Faida na Vipingamizi vya Ufugaji.
2. Ujenzi wa Nyumba na Virimba vya kufugia.
3. Ulishaji na Mahitaji ya Vyakula.
4. Uzalishaji na Malezi ya
..
read more
A: Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 9 chapters:
1. Asili, Makundi, Aina, Faida na Vipingamizi vya Ufugaji.
2. Ujenzi wa Nyumba na Virimba vya kufugia.
3. Ulishaji na Mahitaji ya Vyakula.
4. Uzalishaji na Malezi ya Watoto.
5. Tabia Maalumu za Sungura.
6. Njia za kuzuia Sungura Wasiambukizwe Magonjwa na Wasishambuliwe na Vimelea
7. Magonjwa, Kinga na Tiba.
8. Vimelea na Udhibiti wake.
9. Soko na Utayarishaji wa Mazao.
Brief summary
The book is about Morden Husbandry of the Rabbit.
B: Maelezo mafupi ya kitabu
Ufugaji Bora wa Sungura ni kitabu kinachoeleza kwa kina kanuni zote za ufugaji wa kisasa wa mnyama huyu. Sungura ni moja ya wanyama wadogo ambao ni rahisi kuwafuga. Nyama yao inafanana na nyama ya kuku. Ni nzuri na ina protini nyingi na viinilishe vingine. Ni tiba kwa watu wagonjwa, wazee na watoto dhaifu.
Kitabu hiki kitakuwa cha msaada mkubwa kwa wafugaji wapya na wa zamani, maofisa ugani, wanafunzi, wanavyuo na viongozi wa wananchi, hasa wa kwenye ngazi za Vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Tarafa na Wilaya.
read less