Help Centre   +255753435484

Kamusi Ya Kiswahili Sanifu [ 3Rd Ed ]

ISBN : 9780195738209

In stock

19,800 TZS

Related Products

toleo hili la tatu lililoboreshwa lina:

-maneno ya jumla zaidi ya 285000

-maneno sanifu yanayokubalika

-vidahizo zaidi ya 25000 (vikiwemo vibadala na minyambuliko ya vitenzi)

-vidahizo vipya vilivyoteuliwa takriban 2000

-baadhi ya istilahi za nyanja na taaluama mbalimbali

-matamshi na hati za fonetika za kimataifa

-ngeli zilizoainishwa kimofolojia, kisintaksia na kisemantiki

-etimolojia ya vidahizo

-njia rahisi na ya haraka ya kutambua visawe, misemo, nahau, methali, n.k

-picha na michoro ya kuvutia zaidi ya 1150

-kurasa 16 za michoro ya rangi kuhusu mada mbalimbali

 

kamusi inayoaminika kote duniani

    ISOME.IHAKIKI.ITUMIE

There are yet no reviews for this product.

ISBN : 9780195738209

Level : General

Subject : Kiswahili

Publisher / Manufacture : Oxford University Press (Tanzania)

Nature : Dictionary

Binding/Format : Paperback

Grade : Shule ya Msingi

Kamusi hii ina historia ndefu. Ni miaka zaidi 45 toka wazo la kuibuni, kuitunga, kuitafiti, kuichapa chapisho la kwanza, kuihakiki, kuidurusu, kuipanua,kuisanifu upya na kuiboresha

Contact & Support

  +255 753 435 484

  +255 658 780 015

  info@elitestore.co.tz

  Locate our Stores

  Shipping Options

Working Hours

Monday-Friday: 8:30am – 7:30pm

Saturday: 9:00 am – 5:30 pm

Sunday: 10:30am – 4:30pm

© Elite Bookstore. All Rights Reserved | Powered by Dudumizi