Product description
Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kidato cha Kwanza; ni kitabu cha kwanza na kipya kabisa kuandikwa hapa nchini ili kukidhi haja ya silabasi iliyopo. Kimekusudiwa kiwafae wanafunzi wa kidato cha kwanza. Kitawafanya wanafunzi na walimu wao kulifurahia
..
read more
Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kidato cha Kwanza; ni kitabu cha kwanza na kipya kabisa kuandikwa hapa nchini ili kukidhi haja ya silabasi iliyopo. Kimekusudiwa kiwafae wanafunzi wa kidato cha kwanza. Kitawafanya wanafunzi na walimu wao kulifurahia S0l110 la Kiswahill kwa kuwa kimekusanya mada zote zinazofundishwa katika kiwango hiki. Hiki ni kitabu cha lazima kwa kila mwanafunzi wa kidato cha kwanza hapa nchini Tanzania.
Godfrey Rutta Bukagile ni msomi, mhariri, mwalimu na mwandishi wa vitabu vya taaluma hapa nchini Tanzania. alizaliwa kijijini Kikukwe, kata ya Kanyigo, wilaya ya Bukoba vijijini mkoani Kagera. Ana stashahada ya ualimu kutoka Chuo cha Ualimu Korogwe na , Shahada ya Ualimu kutoka Chuo Kikuu cha Oar es Salaam. Kwa sasa ni mwalimu wa Midlands High School, jijini Dar es Salaam.
read less