Categories: Popular books

Sayansi na Teknolojia Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Tatu

  • ISBN: 9789976617153
  • Number of pages: 106 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
  • Year published: 2019
  • Availability: In stock
9,500 TZS

Product description

Kitabu hiki kinalenqu kukusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojic.
Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na moja zilizoandaliwa Hi kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kinalenqu kukusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojic.
Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na moja zilizoandaliwa Hi kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo. Sura hizo ni mazingira, nishati, maada, njia za mawasiliano, vifaa vya kurahisisha kazi, vipimo, usafi wa mwili na mavazi, mlo kamili, mfumo wa mmeng'enyo wa chukulu, njia za maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na huduma ya kwanza.
Kitabu hiki kinaetezea maudhui kwa njia ya habari, picha na kazi za vitendo. Unatakiwa kuzingatia maudhui hayo iU uweze kujifunza na kujenga umahiri uUokusudiwa.

0 reviews for Sayansi na Teknolojia Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Tatu

Add a review

Your Rating