Uraia na Maadili - Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la Tatu

  • ISBN: 9789976617160
  • Number of pages: 106 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
  • Availability: In stock
9,500 TZS

Product description

Kitabu hiki kimeandaliwa kulinqana na Muhtasari wa Uraia na Maadili wa Mwaka 2016 ambao unazingatia ujenzi wa umahiri.
Muundo wa kitabu hiki umegawanyika katika sura kuu nane ambazo nazo zinaundwa na sura ndogondogo. Katika kila sura kuna maswali, m

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kimeandaliwa kulinqana na Muhtasari wa Uraia na Maadili wa Mwaka 2016 ambao unazingatia ujenzi wa umahiri.
Muundo wa kitabu hiki umegawanyika katika sura kuu nane ambazo nazo zinaundwa na sura ndogondogo. Katika kila sura kuna maswali, mazoezi, kazi za kufanya kwa ajili ya mwanafunzi kujenga umahiri unaokusudiwa kujengwa katika sura husika. Ufafanuzi wa maneno mapya na magumu umetolewa mwishoni mwa kila sura.

0 reviews for Uraia na Maadili - Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la Tatu

Add a review

Your Rating

Related products