Product description
Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 3300 katika majaribio 114 na mitihani 18 ya taifa ya masomo 6 yanayofundishwa darasa la 3 na la 4. Masomo hayo ni Hisabati, English, Kiswahili, Sayansi na Teknolojia, Maarifa ya [arnii, pamoja na Elimu
..
read more
Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 3300 katika majaribio 114 na mitihani 18 ya taifa ya masomo 6 yanayofundishwa darasa la 3 na la 4. Masomo hayo ni Hisabati, English, Kiswahili, Sayansi na Teknolojia, Maarifa ya [arnii, pamoja na Elimu ya Uraia na Maadili. Mwishoni kuna majibu kwa maswali yote. Kwa Hisabati kitabu pia kinaonesha njia.
Vilevile kitabu hiki kina vielelezo mbalimbali vinavyoonesha taarifa mbalimbali, kama vile ramani ya Tanzania yenye mikoa mipya, mfumo wa jua, alama za taifa, mfumo wa mmeng' enyo wa chakula na aina ya nyenzo.
Tunaamini kuwa, kwa kupitia vitabu vyetu, wanafunzi watapata njia bora na rahisi za kujikumbusha mambo waliyojifunza darasani na wanayopaswa kuyafahamu. Pia watajifunza mbinu bora za kujibu maswali. Mwanafunzi atakayefanya mazoezi ya kitabu hiki atakuwa na uhakika wa kufaulu vizuri mitihani yake.
read less