Product description
Kitabu hiki kimeandaUwa kuUngana na muhtasari wa elimu ya msingi darasa la kwanza, mwaka 2015. Ni kitabu kinachoundwa na sura kuu nane zenye kujenga umahiri wa afya na mazingira. Sura hizo ni mwili wa binadamu, Usafi wa mwili na chakula bora. Sura zi
..
read more
Kitabu hiki kimeandaUwa kuUngana na muhtasari wa elimu ya msingi darasa la kwanza, mwaka 2015. Ni kitabu kinachoundwa na sura kuu nane zenye kujenga umahiri wa afya na mazingira. Sura hizo ni mwili wa binadamu, Usafi wa mwili na chakula bora. Sura zingine ni maji na afya zetu, Virusi vya Ukimwi na UKIMWI, huduma ya kwanza, Mazingira yetu na viumbe hai katika mazingira yetu.
Maudhui ya kitabu hiki yatamjengea mwanafunzi umahiri wa kutunza afya na mazingira yake. Pia, yatamsaidia mwanafunzi kukuza stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.
read less