Product description
Lalisa Lema msichan mwenye miaka 30, anasukumwa na familia, marafiki, na jamaa aolewe haraka kabla hajazeeka. Kila nakopita ananyoshewa kidole. Lalisa anaamua kuandika barua kwa wanaume wote aliowahi kuwapenda. hakuna anayejua kuhusu hizo barua zaidi .. read more