Product description
CHUNGU TAMU ni mashairi yanayouimulika jamii na kuichunguza kwa makini. Mashairi haya ni fasihi changanuzi yanaikosoa jamii yetu na kutoa mapendekezo mwaafaka dhidi ya mapungufu yaliyopo ambayo mwandishi anaamini kuwa iwapo yatazingatiwa, wananchi wa
..
read more
CHUNGU TAMU ni mashairi yanayouimulika jamii na kuichunguza kwa makini. Mashairi haya ni fasihi changanuzi yanaikosoa jamii yetu na kutoa mapendekezo mwaafaka dhidi ya mapungufu yaliyopo ambayo mwandishi anaamini kuwa iwapo yatazingatiwa, wananchi wataondokana na uchungu na kuonja utamu ambai malengo yao na ya viongozi waaminifu.
read less