Product out of stock, Pre order now

Makundi: short stories

Dar es Salaam kwa Baba

  • ISBN: 9780521668880
  • Idadi ya kurasa: 16
  • Muundo wa bidhaa: Paperback
  • Mwandishi: Sue Hepker
  • Mchapishaji: E & D Vision Publishers
  • Mwaka wa kuchapishwa: 1999
  • Upatikanaji: Imeisha
5,000 TZS

Maelezo ya bidhaa

Baba anafanya kazi Dar es Salaam.
Sisi tunaishi na mama hapa kijijini Farka.
Ni mwendo wa saa chache kutoka mji wa Kondoa.
Leo Mama amepokea barua.Imetoka kwa Baba.Anasema kwa furaha.Baba anataka twende Dar es salaam. .. read more

maoni 0 ya Dar es Salaam kwa Baba

Ongeza maoni

Alama zako