Product description
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili,has the following 6 chapters
1. Historia, Mmea wa Soya na Muundo wa Mbegu
2. Matumizi ya Maharage ya Soya
3. Mahitaji ya kimazingira ya Soya
4. Utayarishaji wa mahali pa kupanda Soya, Upandaji na
..
read more
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili,has the following 6 chapters
1. Historia, Mmea wa Soya na Muundo wa Mbegu
2. Matumizi ya Maharage ya Soya
3. Mahitaji ya kimazingira ya Soya
4. Utayarishaji wa mahali pa kupanda Soya, Upandaji na Matumizi ya Mbolea
5. Visumbufu vya Maharage ya Soya
6. Uvunaji, Utayarishaji, Hifadhi na Uuzaji wa Soya
Brief Summary
The book consists of six chapters. It is about How to Grow Soya Beans and its basic requirements for maximum growth.
B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Maharage ya Soya yana protini, mafuta, wanga mwingi, madini ya vitamini A, B, D na E. Unga wa soya unaweza kutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama vile ugali, maziwa, chapati na mikate. Kwa hakika, maharage ya soya ni chakula cha matajiri na wananchi wa kawaida. Aidha, maharage ya soya ni malighafi ya viwanda vingi. Vilevile, soya ni zao la biashara. Tatizo ni namna ya kulistawisha vizuri zaidi.
Kitabu hiki chenye sura sita kitawafundisha wasomaji namna ya kulistawisha. Sura ya kwanza inaelezea historia ya mmea wa soya na muundo wa mbegu. Sura ya pili inaeleza matumizi ya maharage ya soya. Sura ya tatu inahusu mahitaji ya kimazingira ya soya. Sura ya nne ni utayarishaji wa mahali pa kupanda soya, upandaji na matumizi ya mbolea.
Sura ya tano inaelezea visumbufu vya maharage ya soya na sura ya sita inahusu uvunaji, utayarishaji, hifadhi na uuzaji wa soya. Kwa kuzingatia maelezo yaliyo kitabuni, mkulima anaweza kupata zaidi ya kilo 3,000 kwa hekta moja.
read less