Product description
Kamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lu
..
read more
Kamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizo vipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kljarnll, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine. Mambo mapya na ya kipekee katika Kamusi ya Karne ya 21
(Toleo la 4) ni:
⦠Zaidi ya jumla ya vidahizo 48000
⦠Usarufi na uainishaji wa maneno kupitia vitengo na kategoria zake
⦠Mwainisho wa visawe, vitawe, vitate, viumbe na vikembe vyao
⦠Rangi mbalimbali, mawingu, miti, matunda, sayari, mataifa na utaifa
⦠Virejeleo vya taaluma za masomo mbalimbali ikiwemo michoro
⦠Mifano ya sentensi, matumizi ya methali, maana za misemo, nahau na tashbihi
⦠Taarifa fupi za kiisimu kuhusu: vitenzi na uainishaji wake, ngeli za Kiswahili,
read less