Product description
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 6 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zai
..
read more
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 6 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zaidi. Kitabu hiki kina hadithi, midahalo, risala na mazoezi mengi ambavyo kwa pamoja vinampa mwanafunzi fursa ya kuwa mahiri katika mada zinazofundishwa kwenye kitabu hiki. Mada zilizoko kitabuni ni pamoja na Kusoma, Kuandika, Sarufi, Misamiati, Matumizi ya Kamusi, Vitendawili, Nahau na Methali. Tuna uhakika kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja sahihi wa kujifunza somo la Kiswahili kwa vitendo.
read less