Categories: Readers/Story Books

Kiwavi Mtoto

  • ISBN: 9789912752122
  • Number of pages: 26 pages
  • Product format: Paperback
  • Author: Corona Cermak
  • Publisher: Mbiu Press
  • Year published: 2023
  • Availability: In stock
4,000 TZS

Product description

Safari yake ilikuwa na matukio mengi, hadi pale wingu nene lilipotanda. Hofu yake ya kuloweshwa na mvua ilibadilisha maisha yake. Njoo utembee na uruke na Kiwavi Mtoto.
Vitabu vya hadithi za watoto ni urithi wa jamii kwani humjenga mtoto kifikra, kim

Qty

Tab Article

Safari yake ilikuwa na matukio mengi, hadi pale wingu nene lilipotanda. Hofu yake ya kuloweshwa na mvua ilibadilisha maisha yake. Njoo utembee na uruke na Kiwavi Mtoto.
Vitabu vya hadithi za watoto ni urithi wa jamii kwani humjenga mtoto kifikra, kimwelekeo na kimaadili. Kila jamii inapaswa kuwa na vitabu vingi vya watoto vyenye maudhui na mafunzo yanayokubalika katika jamii hiyo ili, sambamba na kuwafundisha lugha, viwajengee ufahamu wa misingi, historia na matarajio ya jamii yao.Vitabu vyetu vya watoto vinazingatia hayo. Vilevile, ubora wa simulizi na uzuri wa picha zake vitaamsha kicheko na hamasa ya usomaji na ujifunzaji kwa watoto wetu.

0 reviews for Kiwavi Mtoto

Add a review

Your Rating