Product description
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has, the following 6 chapters:
1. Vitunguu.
2. Vitunguu saumu.
3. Pilipili.
4. Iliki.
5. Mdalasini.
6. Tangawizi.
Brief Summary:
It is about How to Grow Spice Crops.
A. Maelezo mafupi ya kitabu:
..
read more
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has, the following 6 chapters:
1. Vitunguu.
2. Vitunguu saumu.
3. Pilipili.
4. Iliki.
5. Mdalasini.
6. Tangawizi.
Brief Summary:
It is about How to Grow Spice Crops.
A. Maelezo mafupi ya kitabu:
Kiungo ni kitu kinachotia chakula rangi, ladha na harufu nzuri. Sehemu za mazao ya viungo ambazo hutumika kama viungo ni matunda, vichomozo, mizizi, maua, mbegu na magome. Mbali na kuongeza chakula rangi, ladha na harufu nzuri, huongeza pia, hamu ya kula. Aidha, baadhi ya mazao hutumika pia kutengeneza vinywaji baridi, mfano mzuri ni tangawizi.
read less