Product description
Pepo ya Mabwege ni riwaya ya kitashtiti inayopinga vikali mienendo ya viongozi walaghai na fisadi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali. Josina na kalenga wanakuwa kwenye mastari wa mbele kukabiliana na uongozi mbayya na ingawa wanakumbana na changa
..
read more
Pepo ya Mabwege ni riwaya ya kitashtiti inayopinga vikali mienendo ya viongozi walaghai na fisadi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali. Josina na kalenga wanakuwa kwenye mastari wa mbele kukabiliana na uongozi mbayya na ingawa wanakumbana na changamoto na vikwazo chungu mzima, wanafanikiwa kuanika maovu yanayotekelezwa na viongozi hao.
read less