Product description
Kitabu hiki kinalenga kusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi na udadisi. Pia, kitasaidia kukuza stadi za ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojia.
Aidha, kitabu kina sura kumi na moja zilizoandaliwa kukidhi mahita
..
read more
Kitabu hiki kinalenga kusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi na udadisi. Pia, kitasaidia kukuza stadi za ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojia.
Aidha, kitabu kina sura kumi na moja zilizoandaliwa kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo. Sura hizo ni: Mazingira, nishati, matumizi ya nishati, maji na mawasiliano. Sura nyingine ni majaribio ya kisayansi, kinga ya mwili, magonjwa, VVU na UKIMWI, huduma ya kwanza na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Mwisho kitabu hiki kinaeleza maudhui kwa njia ya habari, picha na kazi za vitendo. Pia, kinamjengea mwanafunzi uwezo wa kukuza stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.
read less