Card List Article
Kitabu hiki kimebeba wasifu na simulizi za safari za mashujaa 25 ambao waliamua kwa makusudi kuwekeza taaluma, falsafa na rasilimali zao kutetea na kuendeleza Kiswahili tangu kilipokuwa lugha changa hadi kukia kuwa lugha ya Kiafrika yenye mafanikio