Card List Article
Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vitatu vya Stadi za Kazi kimeandaliwa mahususi kwa mwanafunzi wa Darasa la Tano.
Kitabu hiki kitakuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi na udadisi. Pia, kitasaidia kukuza stadi za ubunifu na