Product description
Mzee Jacob anakufa kutokana na sigara iliyotiwa sumu... Siku chache baadaye, bintiye Mary anapigwa risasi... Fambo anamjulisha Inspekta Wingo kuhusu vifo hivi. Lakini ni nani huyu Fambo? Kuna uhusiano wowote baina ya vifo hivi na Fambo?
ya Kifo ni
..
read more