Product description
Ufugaji bora wa Kuku ni kitabu kizuri ambacho kimetayarishwa kwa makini kwa ajili ya watu ambao tayari wanafuga kuku wa kienyeji na kuku wa kigeni (yaani, kuku chotara) na wale ambao wangependa kuanza ufugaji wa kisasa wa kuku. Ufugaji wa kuku ni shu
..
read more
Ufugaji bora wa Kuku ni kitabu kizuri ambacho kimetayarishwa kwa makini kwa ajili ya watu ambao tayari wanafuga kuku wa kienyeji na kuku wa kigeni (yaani, kuku chotara) na wale ambao wangependa kuanza ufugaji wa kisasa wa kuku. Ufugaji wa kuku ni shughuli moja inayoweza kumwondolea mtu umaskini na kumwinua kiuchumi.
Kitabu kinahusu ufugaji bora wa kuku kwa lengo la kuifanya shughuli hii iwe ya kibiashara. Kitabu kina sura 10 zinazogusa vipengele vyote vya ufugaji wa kisasa wa kuku.
read less