Categories: Motivational

Ulumbi na Walumbi

  • ISBN: 9789912752429
  • Publisher: Mbiu Press
  • Availability: In stock
50,000 TZS

Product description

Ziko wapi zile nyakati za Ulumbi na Walumbi waliokuwa wanazumgumza Kiswahili mu i na si Kiswahili shelabela? Wako wapi mambuji wa kusema kwa fusuli, wenye kutondoa utondozi, kuzumgumza kwa jahara na kunena kwa kiada? Kwa namna fulani, jahazi la lugha

Qty

Tab Article

Ziko wapi zile nyakati za Ulumbi na Walumbi waliokuwa wanazumgumza Kiswahili mu i na si Kiswahili shelabela? Wako wapi mambuji wa kusema kwa fusuli, wenye kutondoa utondozi, kuzumgumza kwa jahara na kunena kwa kiada? Kwa namna fulani, jahazi la lugha ashirafu, lugha akrama, linakwenda ubenibeni. Hivyo, kitabu hiki kina dhumuni la kukuza ulumbi na kuzirejesha siku zile za waneni mabalagha. Vilevile kitabu hiki kinaeleza masuala ya ukombozi wa Bara la Afrika huku Tanzania ikiwa kinara wa ukombozi wenyewe. Kitabu hiki kinaeleza masuala ya uanamajumui na wanamajumui ajuadi wenye kra tunduizi, ambao watakuingiza katika bahari yenye uketo ya matumaini. Kwa wote ambao ni walunguzi wa mawazo ya usawa kwa binadamu wote pasina ukupe, kitabu hiki kama manukato ya nardo, kinawasha mwenge wa matumaini. Hii ni zawadi kwa mustakabali wa ulumbi na walumbi wa sasa na kesho. Wabaadu wakatabahu fakiri, nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu.

0 reviews for Ulumbi na Walumbi

Add a review

Your Rating