Product description
Tamthiliya hii inaangazia changamoto za nchi nyingi za Afrika miaka michache baada ya kupata uhuru. Ingawa mkoloni alifahamika bayana kama adui aliyewanyima maendeleo na kudumisha uonevu, miaka michache tu ya utawala huru, sumu ya kiti cha utawala in
..
read more
Tamthiliya hii inaangazia changamoto za nchi nyingi za Afrika miaka michache baada ya kupata uhuru. Ingawa mkoloni alifahamika bayana kama adui aliyewanyima maendeleo na kudumisha uonevu, miaka michache tu ya utawala huru, sumu ya kiti cha utawala inawaponza viongozi wao na kuwafanya nao kuwa kama watesi wa mwanzo. Jamii inataka ukombozi wa pili japo ni ukombozi mgumu kuupata kutokana na kuzongwa na maslahi binafsi ya viongozi wao.
read less