Product description
Isimujamii: Sekondari na Vyuo ni kitabu cha nne katika mfululizo wa vitabu vya sarufi vinavyotayarishwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI), Cbuo Kikuu cha Dar es Salaam. Vitabu vingine vilivyotolewa katika mfululizo huu ni Sarufi Miundo ya K
..
read more
Isimujamii: Sekondari na Vyuo ni kitabu cha nne katika mfululizo wa vitabu vya sarufi vinavyotayarishwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI), Cbuo Kikuu cha Dar es Salaam. Vitabu vingine vilivyotolewa katika mfululizo huu ni Sarufi Miundo ya Kiswahili Sanifu (SAMIKISA), Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu (SAMAKISA), na Fonolojia ya Kiswahili Sanifu (FOKISA). Vitabu hivi vya sarufi vinalenga kukuza taaluma ya Kiswahili katika vipengele vya Miundo (Sintaksia), Maumbo (Mofolojia), Umbosauti (Fonolojia), na Isimujamii.
read less