Product description
WASIFU WA SITI BINTI SAAD
Riwaya hii ya kiwasifu inazungumzia mwimbaji maarufu wa taarabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Siti alikuwa mzaliwa wa Fumba kwa wazazi masikini mwishoni mwa karne ya 19. Yeye mwenyewe hakuwahi kuso
..
read more
WASIFU WA SITI BINTI SAAD
Riwaya hii ya kiwasifu inazungumzia mwimbaji maarufu wa taarabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Siti alikuwa mzaliwa wa Fumba kwa wazazi masikini mwishoni mwa karne ya 19. Yeye mwenyewe hakuwahi kusoma elimu rasmi ya darasani. Hata hivyo, aliweza kukwea hadi juu ya kilele cha umaarufu na mafanikio licha ya vikwazo vingi. Aliwezaje? Hiki ni kitabu kinachotia hamasa ya kushinda upinzani mbalimbali hadi ku kia malengo aliyojiwekea mtu.
MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI
Katika riwaya hii ni ya kitawasifu, baba wa fasihi, Shaaban Robert, anasimulia maisha yake katika awamu mbili, yaani kabla ya umri wa miaka hamsini na baada ya miaka hamsini hadi kustaafu kwake. Ndani yake anatufungulia mlango unaotuwezesha kuona machungu na matamu ya maisha yake. Tunaona matarajio na shauku zake, maisha ya uandishi, changamoto alizopitia, falsafa za maisha yake na mafanikio yake katika ajira na familia.
read less