Books by Emmanuel Mbogo

Showing 1 to 15 of 15 records (1 Pages)
Sort By:
text_showing_page_of_pages
Sort By:

Card List Article

Fumo Liongo alikuwa shujaa wa mji wa Pate katika Pwani ya Afrika ya Mashariki aliyeishi kati ya karne ya 9 na ya 13. Umaarufu wa Fumo Liongo ulitokana na ushujaa, uzalendo na kipaji chake cha umalenga miongoni mwa watu wa Pate na maeneo ya jirani. Kw

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthilia hii inahusu Bibi Titi Mohamed. Titi alikuwa kiongozi shupavu aliyeupipgania uhuru wa Tanganyika kwa ujasiri mkubwa akiwa mwanachama wa TANU na kiongozi wa Umoja wa Wanawake. Wakati wanaume wengi walipokuwa wakiogopa kukata kadi za TANU, wak

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthiliya ya Morani inasawiri misukosuko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania katika miaka ya 80. Katika kiwango cha uhalisia, tunamwona Dongo, mhusika mkuu, akipambana na wahujumu uchumi ili kuwakomboa wanyonge. Lakini ghafla nyota iliyongâ€â„

3,500 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Historia ya maisha ya Siti Binti Saad kama yalivyosawiriwa na Shaaban Robert na Nasra Mohamed Hilal, na sasa, katika tamthiliya hii ya kihistoria, itamfunulia msomaji wasifu na safari ya maisha ya mwanamama huyu. Katika historia ya safari ya Siti Bin

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Oktoba, 1966 kulizuka mgogoro mkubwa wa kihistoria kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Muhimbili. Wanafunzi hawa walifanya maandamano makubwa hadi Ikulu wakipinga vikali sera ya kuwataka wajiunge n

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Sadaka ya John Okello ni tamthilia ya kihistoria kuhusu mapinduzi ya tarehe 12/1/1964 visiwani Zanzibar. Wakoloni Waingereza, kabla ya kuondoka visiwani walimkabidhi Sultani Jamshid uhuru na mamlaka ya kuitawala Zanzibar tarehe 01/12/1963. Wazanzibar

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

KONGO [DRC] ilipata uhuru toka kwa Wabelgiji tarehe 30/06/1960 na Patrice Lumumba akawa Waziri Mkuu wa kwanza. Baada ya miezi sita tu, yaani tarehe 17/01/1961, Lumumba akauliwa kikatili na kinyama. Leo hii [taz.The Assassination of Lumumba - na Ludo

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Mwaka 2004 Profesa Wangari Maathai, kiongozi wa chama cha kuhifadhi mazingira (Green Belt Movement) nchini Kenya, alitunukiwa tuzo ya Amani ya Nobel kutokana na mchango wake mkubwa katika harakati za kupigana amani, demokrasia, utawala bora, matumizi

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, mfanyabiashara, profesa, msanii, mkulima, fundi, mwanariadha au mama wa nyumbani, unao uwezo wa kubadilisha maisha yako katika nyanja yoyote ile kama unataka. Unaweza ukakataa kusota na kubako hapo ulipo, kwa kupamba

7,000 TZS

Card List Article

This series is endorsed by Cambridge International Examinations and is part of Cambridge Maths. Children will enjoy learning mathematics with this fun and attractive learner's book for stage 4. A variety of questions, activities, investigations and g

21,000 TZS

Card List Article

Msingi na dafina ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987. Tamthilia hii, pamoja na masuala mengine, inaangazia

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthilia hii ya kihistoria inamhusu Mirambo, Mnyamwezi na mtemi wa Urambo toka mwaka 1860 hadi 1884. Mirambo alikuwa mwanajeshi na mtawala shupavu aliyetawala himaya kubwa upande wa magharibi ya Tanganyika. Kwa kutumia jeshi lake la vijana hatari wa

7,000 TZS

Publisher: APE Network