Product description
Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe ni kitabu kinachowalenga wafugaji wa nguruwe wa aina kuu tatu zifuatazo:Wafugaji wenye uzoefu mdogo.Wafugaji wa ngazi ya kati wanaoinukia katika ufugaji wa kisasa na wa kibiashara na Wafugaji wakubwa wanaofuga nguruwe
..
read more
Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe ni kitabu kinachowalenga wafugaji wa nguruwe wa aina kuu tatu zifuatazo:Wafugaji wenye uzoefu mdogo.Wafugaji wa ngazi ya kati wanaoinukia katika ufugaji wa kisasa na wa kibiashara na Wafugaji wakubwa wanaofuga nguruwe kisasa kwa ajili ya kupata faida kubwa. Wafugaji wadogo wanaoanza au waliokwishaanwenza mtaji mdogo au hawana mtaji kabisa na wanaweza kufuga nguruwe na watangundua kuwa ufugaji huu una faida kubwa. Kinunue kitabu hiki ili uelekee kwenye ufugaji wa kisasa na wa kibiashara.
read less