Product description
Magonjwa ndicho chanzo kikuu cha vifo vya mifugo na umaskini wa wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Bila kuugua, mifugo haiwezi kufa .Dhibiti magonjwa ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa, nyama, mayai, ngozi n.k.
..
read more
Magonjwa ndicho chanzo kikuu cha vifo vya mifugo na umaskini wa wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Bila kuugua, mifugo haiwezi kufa .Dhibiti magonjwa ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa, nyama, mayai, ngozi n.k. na kuondoa umaskini wa wafugaji. Moja ya Kanuni za Ufugaji Bora inawataka wafugaji wadhibiti magonjwa ya mifugo. Lakini, magonjwa yana visababishi au wakala. Tukijua visababishi hivyo na namna ya kuvidhibiti au kuvipunguza, magonjwa yatapungua . Magonjwa yanazuilika. Magonjwa yanatibika. Tufanye, basi, kazi hizo mbili ili kuboresha ufugaji. Lengo kuu la kitabu hiki ni kuwasaidia wafugaji wafanye hivyo.
read less