Product description
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 7 chapters
1. Asili, Mmea, Aina, Uzalishaji, Faida na Mahitaji muhimu kwa ustawishaji mzuri.
2. Njia Kuu za Ustawishaji wa Mpunga, Uchaguzi na Utayarishaji wa Mbegu na Ukuaji wa
..
read more
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 7 chapters
1. Asili, Mmea, Aina, Uzalishaji, Faida na Mahitaji muhimu kwa ustawishaji mzuri.
2. Njia Kuu za Ustawishaji wa Mpunga, Uchaguzi na Utayarishaji wa Mbegu na Ukuaji wa Mpunga.
3. Ustawishaji wa Mpunga katika miinuko au nchi kavu.
4. Ustawishaji wa Mpunga katika Majaruba.
5. Utunzaji wa Shamba la Mpunga.
6. Sifa za Shamba zuri la Mpunga.
7. Uvunaji, Ukaushaji, Upururaji, Upepetaji,Upembuaji, Ufungaji na Hifadhi.
Brief Summary
The book is about How to Grow Paddy.
B. Maelezo mafupi ya kitabu
Jifunze Kustawisha Mpunga ni kitabu kinachotoa elimu kuhusu Mpunga na Kanuni Bora za kulistawisha.
read less