Product description
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has the following 6 chapters
1. Asili, Aina kuu, Mmea, Jamii na Mahitaji muhimu.
2. Umuhimu na Faida za Minazi.
3. Uanzishaji na Utunzaji wa Kitalu.
4. Utayalishaji wa Shamba,Upandikizaji wa Miche
..
read more
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has the following 6 chapters
1. Asili, Aina kuu, Mmea, Jamii na Mahitaji muhimu.
2. Umuhimu na Faida za Minazi.
3. Uanzishaji na Utunzaji wa Kitalu.
4. Utayalishaji wa Shamba,Upandikizaji wa Miche Utunzaji na Ulishaji wake.
5. Udhibiti wa Magonjwa na Wadudu waharibifu.
6. Uanguaji wa Nazi, Ukaushaji Mavuno na Utayarishaji.
Brief Summary
The book is about How to Grow Coconuts.
B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Jifunze Kustawisha Minazi ni kitabu kinachohusu Mnazi ambao kwa miaka mingi huitwa na wakulima ‘Mti wa Uhai.’ Baada ya kumaliza kusoma kitabu hiki, utakubaliana na waliouita jina hilo. Sehemu mbalimbali za mti huu, kuanzia mizizi hadi majani, hutoa aina kadhaa za bidhaa ambazo hutumiwa kwa chakula, biashara na hutengenezwa vifaa vya aina nyingi. Kilimo chake ni rahisi. Minazi hustawi zaidi katika mwambao wa Tanzania, hasa mikoa ya Lindi, Mtwara, Pemba, Pwani, Tanga na Unguja. Aidha, Minazi hukutwa ikistawi katika mikoa kadhaa mingine ingawa ni kwa kiasi kidogo. Nchi zinazoongoza duniani kwa ustawishaji wa Minazi ni Filipino, Indonesia, India, Malaysia na Papua. Madhumuni ya kitabu hiki ni kuwaelimisha wasomaji, hasa wakulima, umuhimu na faida za zao hili, jinsi ya kulistawisha, kulivuna na kulitayarisha. Lengo ni kuongeza uzalishaji na ubora wa zao hili nchini.
read less