Product description
                                
                                
                                    Jifunze Kustawisha MIMEA YA MATUNDA ni kitabu kinachoelezea Misingi Mikuu na Namna ya kustawisha aina kuu za Mimea ya Matunda. Tunda ni zao la mmea linalohifadhi mbegu ambalo hutokana na ua. Baadhi ya aina za matunda ni chenza, chungwa, embe, fenesi,
                                    ..
                                    
                                        read more
                                    
                                
                                
                                
                                    Jifunze Kustawisha MIMEA YA MATUNDA ni kitabu kinachoelezea Misingi Mikuu na Namna ya kustawisha aina kuu za Mimea ya Matunda. Tunda ni zao la mmea linalohifadhi mbegu ambalo hutokana na ua. Baadhi ya aina za matunda ni chenza, chungwa, embe, fenesi, bibo, nazi, ndizi, nyanya, papai, parachichi, peasi, tikiti, tomoko, tufaha na zabibu. Kisome ili ujipatie maarifa ya kukuwezesha kupata matunda mengi na yaliyo bora kwa kila mmea. Lengo kuu ni kuwaongezea wakulima kipato na lishe bora.
                                    
                                        read less