Product description
Maelezo mafupi ya kitabu
Kilimo Bora cha Muhogo ni kitabu ambacho kinaeleza asili, aina, historia ustawishaji Muhogo.
1. Asili, aina na historia ya muhogo.
2. Maumbile, muundo na matumizi ya muhogo.
3. Mzunguko wa maisha ya mmea wa muhogo na mazingir
..
read more
Maelezo mafupi ya kitabu
Kilimo Bora cha Muhogo ni kitabu ambacho kinaeleza asili, aina, historia ustawishaji Muhogo.
1. Asili, aina na historia ya muhogo.
2. Maumbile, muundo na matumizi ya muhogo.
3. Mzunguko wa maisha ya mmea wa muhogo na mazingira yanayofaa kwa ustawishaji wake.
4. Matumizi ya mbolea na upandaji wa muhogo.
5. Udhibiti wa magugu na mbadilisho wa mazao shambani.
6. Magonjwa ya muhogo.
7. Wadudu na wanyama waharibifu wa muhogo.
8. Uvunaji, utayarishaji, hifadhi na uuzaji wa muhogo.
9. Hifadhi bora ya muhogo.
Brief Summary
The book is on Modern husbandry of Cassava.

read less