Categories: Popular books

Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Nne

  • ISBN: 9789976617252
  • Number of pages: 160 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
  • Year published: 2018
  • Availability: In stock
9,500 TZS

Product description

Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la nne. Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili. Pia, kitabu ki

Qty

Tab Article

Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la nne. Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili. Pia, kitabu kimelenga kukuwezesha kutumia msamiati wa lugha ya Kiswahili kwa namna mbalimbali, hivyo, kukujengea uwezo wa kupanga mawazo kwa mpangilio na mtiririko unaotakiwa.
Kitabu kina hadithi, habari, mashairi, ngonjera, igizo, mdahalo na majigambo. Vyote hivyo vitakuwezesha kujifunza kwa ufasaha. Kitabu kimesheheni maswali ya kupima ufahamu na mazoezi mbalimbali yanayojenga ujuzi wako katika somo la Kiswahili.

0 reviews for Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Nne

Add a review

Your Rating