Free Support 24/7
+255 743 952 935
Hiki ni kitabu cha Sita katika mfululizo wa hadithi maarufu duniani kote za Alfu Lela U Lela (au Siku Elfu Moja na Moja) zenye asili ya Arabuni na Uajemi. Masimulizi haya ya Alfu Lela U Lela yametafsiriwa kutoka matoleo ya Kiingereza na Kijerumani. L
Publisher: Mkuki na nyota Publishers
Lalisa Lema msichan mwenye miaka 30, anasukumwa na familia, marafiki, na jamaa aolewe haraka kabla hajazeeka. Kila nakopita ananyoshewa kidole. Lalisa anaamua kuandika barua kwa wanaume wote aliowahi kuwapenda. hakuna anayejua kuhusu hizo barua zaidi