Items in Plays, short stories and poetry category

Showing 1 to 30 of 268 records (9 Pages)
Sort By:
text_showing_page_of_pages
Sort By:

Card List Article

Fumo Liongo alikuwa shujaa wa mji wa Pate katika Pwani ya Afrika ya Mashariki aliyeishi kati ya karne ya 9 na ya 13. Umaarufu wa Fumo Liongo ulitokana na ushujaa, uzalendo na kipaji chake cha umalenga miongoni mwa watu wa Pate na maeneo ya jirani. Kw

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

ADILI NA NDUGUZE
Hii ni hadithi fupi inayohusu maisha ya kawaida ya binadamu. Mwandishi anajadili dhana ya upendo kama kiini cha ura ki, mapatano, msamaha na wokovu dhidi ya madhila ya binadamu wenye wivu, chuki na mabaya mengine. Mhusika mkuu, Adil

18,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthilia hii inahusu Bibi Titi Mohamed. Titi alikuwa kiongozi shupavu aliyeupipgania uhuru wa Tanganyika kwa ujasiri mkubwa akiwa mwanachama wa TANU na kiongozi wa Umoja wa Wanawake. Wakati wanaume wengi walipokuwa wakiogopa kukata kadi za TANU, wak

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kina mkusanyiko wa Mashairi ya Chekacheka zaidi ya 30

3,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Mfadhili ni riwaya inayoswawiri juu ya penzi zito baina ya watu wawili, Gaddi Bullah na Dania eobald ambalo linapitia katika misukosuko na mitihani mikubwa.

6,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthiliya ya Morani inasawiri misukosuko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania katika miaka ya 80. Katika kiwango cha uhalisia, tunamwona Dongo, mhusika mkuu, akipambana na wahujumu uchumi ili kuwakomboa wanyonge. Lakini ghafla nyota iliyongâ€â„

3,500 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Historia ya maisha ya Siti Binti Saad kama yalivyosawiriwa na Shaaban Robert na Nasra Mohamed Hilal, na sasa, katika tamthiliya hii ya kihistoria, itamfunulia msomaji wasifu na safari ya maisha ya mwanamama huyu. Katika historia ya safari ya Siti Bin

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Oktoba, 1966 kulizuka mgogoro mkubwa wa kihistoria kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Muhimbili. Wanafunzi hawa walifanya maandamano makubwa hadi Ikulu wakipinga vikali sera ya kuwataka wajiunge n

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Riwaya ya kipeke inayovutia hisia, ambayo inasawiri mila na desturi huku ikijikita katika karne ya 19 nchini Zimbabwe. Japokuwa ilikuwa ni mwiko kuruhusu kuwepo kwa mazeruzeru, yaani wakipokonywa maisha yao punde wazaliwapo, mwanamke mmoja jasiri ana

6,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Mwaka 2004 Profesa Wangari Maathai, kiongozi wa chama cha kuhifadhi mazingira (Green Belt Movement) nchini Kenya, alitunukiwa tuzo ya Amani ya Nobel kutokana na mchango wake mkubwa katika harakati za kupigana amani, demokrasia, utawala bora, matumizi

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kinaangazia masuala ya msingi katika safari ya elimu, kikianza na hatua ya malezi ya mtoto kabla ya kwenda shule, elimu ya awali, elimu msingi na hatimaye elimu ya sekondari. Mwandishi anaweka mkazo katika mambo ya kawaida ya kila siku am

15,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

SWIMMING AGAINST THE CURRENT is an inspiring novel that addresses various challenges encountered by a woman when struggling to fulfill her dreams. The author portrays Mama Sinta, Sinta and Mercy as female characters who have great contribution in upb

10,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Msingi na dafina ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987. Tamthilia hii, pamoja na masuala mengine, inaangazia

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthilia hii ya kihistoria inamhusu Mirambo, Mnyamwezi na mtemi wa Urambo toka mwaka 1860 hadi 1884. Mirambo alikuwa mwanajeshi na mtawala shupavu aliyetawala himaya kubwa upande wa magharibi ya Tanganyika. Kwa kutumia jeshi lake la vijana hatari wa

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

KUSADIKIKA
Kusadikika ni riwaya fupi inayozungumzia athari za ujinga, ubinafsi na tamaa za viongozi katika jamii. Katika riwaya hii, viongozi wa nchi ya Kusadikika wamepewa mamlaka makubwa kiasi kwamba chochote wakisemacho ni amri. Jambo hili linaku

18,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

KOJA LA LUGHA
Uhodari na utunzi mahiri wa Shaaban Robert unadhihirishwa katika kazi yake hii ya Koja la Lugha. Mashairi yaliyosukwa kwa ustadi na kubeba tunu za jamii yamekusanywa na kuunda kitabu hiki. Jamii ya Afrika Mashariki ni hadhira lengwa kw

18,000 TZS

Publisher: APE Network