Books by Taasisi ya Elimu Tanzania

Showing 1 to 10 of 10 records (1 Pages)
Sort By:
text_showing_page_of_pages
Sort By:

Card List Article

Kitabu hiki cha Maarifa ya Jamii ru kitabu cha kwanza cha mwanafunzi. Huu ni mfululizo wa vitabu vinne vya somo hili. Vitabu hivyo ni vya darasa ln tatu, nne, tano na sita. Kitabu kimeandaliwa Hi kusaidia kujenga umahiri katika somo la Maarifa ya Jam

9,500 TZS

Card List Article

Kitabu hiki kinalenqu kukusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojic.
Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na moja zilizoandaliwa Hi kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo.

9,500 TZS

Card List Article

Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la nne. Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili. Pia, kitabu ki

9,500 TZS

Card List Article

Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la tano. Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili. Pia, kitabu k

10,000 TZS

Card List Article

Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la sita. Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili. Pia, kitabu k

11,000 TZS

Card List Article

Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa Uraia na Maadili wa mwaka 2016 ambao unazingatia ujenzi wa umahiri. Ni mwendelezo wa Kitabu cha Uraia na Maadili Darasa la Tatu.
Kitabu hiki kina sura kumi na moja na kila sura imeundwa na vipengele

9,500 TZS