Categories: Popular books

Uraia na Maadili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la 4

  • ISBN: 9789976617238
  • Number of pages: 145 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
  • Year published: 2020
  • Availability: In stock
9,500 TZS

Product description

Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa Uraia na Maadili wa mwaka 2016 ambao unazingatia ujenzi wa umahiri. Ni mwendelezo wa Kitabu cha Uraia na Maadili Darasa la Tatu.
Kitabu hiki kina sura kumi na moja na kila sura imeundwa na vipengel

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa Uraia na Maadili wa mwaka 2016 ambao unazingatia ujenzi wa umahiri. Ni mwendelezo wa Kitabu cha Uraia na Maadili Darasa la Tatu.
Kitabu hiki kina sura kumi na moja na kila sura imeundwa na vipengele kadhaa. Sura hizo zimejengwa kwa maudhui yaliyowasilishwa kwa visa, habari, mazungumzo, na majigambo. Pia, maudhui mengine yamewasilishwa kwa ngonjera, nyimbo na mashairi. Kila sura ina mazoezi na kazi za kufanya. Pia, ufafanuzi wa msamiati umetolewa mwishoni mwa kila sura.

0 reviews for Uraia na Maadili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la 4

Add a review

Your Rating