Categories: short stories

Almasi na Jitu

4,000 TZS

Product description

Watu wa kijiji cha Gama walijawa na wasiwasi.Walikuwa wamepata habari kuwa kulikuwa na Jitu lafi,kubwa na nene mno lililoishi mbugani karibu na kijiji chao.Msichana mdogo alimasi alikosa raha alikuwa kilema alijua jitu likifika kijijini hataweza kuki

Qty

Tab Article

Watu wa kijiji cha Gama walijawa na wasiwasi.Walikuwa wamepata habari kuwa kulikuwa na Jitu lafi,kubwa na nene mno lililoishi mbugani karibu na kijiji chao.Msichana mdogo alimasi alikosa raha alikuwa kilema alijua jitu likifika kijijini hataweza kukimbia.Fuatilia kisa hiki.

0 reviews for Almasi na Jitu

Add a review

Your Rating