Categories: Christian Literature

Binti Mrembo Aliyelala

  • ISBN: 9780241331958
  • Product format: Hardcover
  • Author: Ladybird Swahili
  • Publisher: Ladybird
  • Year published: 2012
  • Availability: In stock
6,000 TZS

Product description

Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya La

Qty

Tab Article

Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi, na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.

0 reviews for Binti Mrembo Aliyelala

Add a review

Your Rating