Categories: Popular books

Gamba La Nyoka

13,000 TZS

Product description

Gamba la Nyoka ni riwaya inayoonyesha jinsi maamuzi ya kisiasa yasiyotafakariwa yanavyoweza kuwa na athari mbaya kwa wanyonge na wakulima. Ni riwaya inayotashtiti sera zinaoongozwa na ubinafsi, kisasi na pupa ya utekelezaji. Hii ni riwaya inayotumia

Qty

Tab Article

Gamba la Nyoka ni riwaya inayoonyesha jinsi maamuzi ya kisiasa yasiyotafakariwa yanavyoweza kuwa na athari mbaya kwa wanyonge na wakulima. Ni riwaya inayotashtiti sera zinaoongozwa na ubinafsi, kisasi na pupa ya utekelezaji. Hii ni riwaya inayotumia sitiari na taswira zenye uwezo mkubwa wa kuibua hisia kali na itakayozichokonoa fikira za msomaji hususan kwa namna inavyoupembua unafiki katika matendo ya waja. Hii ni mojawapo wa riwaya bora kabisa kuwahi kuandikwa katika fasihi ya Kiswahili.

0 reviews for Gamba La Nyoka

Add a review

Your Rating