Categories: Readers/Story Books

Janga Sugu la Wazawa

8,000 TZS

Product description

Hatimaye kila mahali kote nchini wananchi wakaogopa zaidi hilo janga sugu la jamii yao kuliko kitu kigine chochote hapa duniani.Kuliko radi na tetemeko la ardhi na mafuriko ya maji na maafa mengine ya asili.Kuliko magonjwa ya hatari kama ndui na taun

Qty

Tab Article

Hatimaye kila mahali kote nchini wananchi wakaogopa zaidi hilo janga sugu la jamii yao kuliko kitu kigine chochote hapa duniani.Kuliko radi na tetemeko la ardhi na mafuriko ya maji na maafa mengine ya asili.Kuliko magonjwa ya hatari kama ndui na tauni na kipindupindu na UKIMWI.Kuliko wanyama wakali wa porini.Kuliko majambazi na majizi yenye silaha.Kuliko hata vita.Hilo janga kuu na sugu la jamii ya mtu mweusi likawa tishio kubwa kwa uhai wa binadamu na usalama wake kote Tanzania kuliko hata mauaji ya halaiki,kwani sasa liliua halaiki kwa halaiki za watu wakati wote,
“Lakini pia kila mmoja wao aliamini kwamba penye nia kuna njia.Na kwamba mradi vita inaendelea ushindi hatimaye utapatikana.Na alijua kwamba harakati za vita hiyo tayari zitamaanisha mwanzo wa jamii mpya”

0 reviews for Janga Sugu la Wazawa

Add a review

Your Rating