Tab Article
The book, written in Kiswahili, has the following 6 chapters:
1. Sifa za Mmea, Mahitaji, Aina, Uzalishaji na Biashara.
2. Umuhimu na Faida za Ufuta.
3. Utayarishaji wa shamba, Upandaji, Palizi na Uwekaji Mbolea.
4. Udhibiti wa Magonjwa na Wadudu.
5. Uvunaji, Utayarishaji na Hifadhi.
6. Usindikaji, Ukamuaji na Usafishaji wa Mafuta.
Brief Summary
It is about How to Grow Simsim.
A. Maelezo mafupi ya kitabu:
Ufuta ni moja ya mazao muhimu ya mbegu za mafuta. Hustawishwa kwa ajili ya chakula na biashara. Umuhimu wake unatokana na mbegu zake ambazo hutoa mafuta mengi. Umuhimu na faida za zao hili zimeelezwa katika sura ya 2. Wastani wa uzalishaji kwa hekta ni kilo 300 ambao ni wa chini. Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Naliendele, Mkoani Mtwara, umedhihirisha kuwa wakulima nchini wakipanda aina bora za ufuta ambazo huzaa na kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hili, uzalishaji huweza kufikia kilo 1,500 kwa hekta.