Categories: Popular books

Kiswahili shule za sekondari Kidato 2

10,000 TZS

Product description

Kiswahili shule za sekondari, kidato cha pili kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari mpya wa mwaka 2005 wa somo la kiswahili kwa shule z sekondari, Tanzania. Kitabu hili kimezingatia sana mahitaji ya wanafunzi darasani na ya taifa kwa ujumla
Katika ki

Qty

Tab Article

Katika kitabu hiki, wanafunzi watapata nafasi ya kuzielewa kwa kina mada zote za lugha ya kiswahili kwa kidato hiki ambazo ni:
1. Mawasiliano
2. Aina za maneno.
3. Fasihi kwa ujumla
4. Fasihi simulizi
5. Usimulizi
6. Uandishi wa insha
7. Uandishi wa barua
8. Ufahamu

0 reviews for Kiswahili shule za sekondari Kidato 2

Add a review

Your Rating