Product description
Kiswahili shule za sekondari, kidato cha pili kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari mpya wa mwaka 2005 wa somo la kiswahili kwa shule z sekondari, Tanzania. Kitabu hili kimezingatia sana mahitaji ya wanafunzi darasani na ya taifa kwa ujumla
Katika kit
..
read more

Katika kitabu hiki, wanafunzi watapata nafasi ya kuzielewa kwa kina mada zote za lugha ya kiswahili kwa kidato hiki ambazo ni:
1. Ngeli za nomino
2. Mjengo wa tungo
Maendeleo ya kiswahili
3. Maendeleo y a kiswahili
4. Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
5. Utungaji wa kazi fasihi andishi
6. Uandishi wa insha na matangazo
7. Kusoma kwa ufahamu na kufupisha habari
read less