Tab Article
Ni kitabu cha kiada kwa shule za msingi darasa la saba. Ni kitabu kipya kilichogusa kwa kina muhtasari mpya wa 2016 kwa shule za misingi Tanzania.
Kitabu hiki kina:
1. Lugha nyepesi inayomsaidia msomaji kujifiunza na kuelewa dhana mbalimbali za somo hili.
2. Michoro imechorwa vizuri ili kumsaidia mwanafunzi kuelewa dhana iliyokusudiwa katika maisha yake ya kila siku.
3. Kazi, mazoezi na maswali ya kutosha vimetolewa ili kumsaidia mwanafunzi kufaulu.
4. Marejeleo na maana ya maneno magumu yameoneshwa katika farahasa mwishoni mwa kitabu hiki
Vitabu vingine katika mfululizo huu ni:
i) Mathematics standard 7
ii) Science and Technology Standard 7
iii) Social Studies standard 7
iv) English language Standard 7
v) Civic and Moral education Standard 7
vi) Vocational Skills Standard 7