Product description
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi.
..
read more
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo hivyo hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuumba herufi na kuandika kwa usahihi herufi, silabi, maneno, sentensi na habari fupi.
Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo wa kumudu somo la Kiswahili kwa ujumla.
read less