Categories: Popular books

Kusoma Kwa Vitendo Kitabu cha 1

  • ISBN: 9789987871377
  • Product format: Paperback
  • Author: Ape network
  • Publisher: APE Network
  • Year published: 2021
  • Availability: In stock
8,000 TZS

Product description

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kusoma kwa kuzingatia muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi.

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kusoma kwa kuzingatia muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi. Kitabu kina hadithi fupi na vitendo vingi ambavyo kwa pamoja vinalenga kumpa mwanafunzi mazoezi katika mada zinazofundishwa, hususan mada ya Kusoma. Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja mpana wa kujifunza somo la Kiswahili kwa vitendo.

0 reviews for Kusoma Kwa Vitendo Kitabu cha 1

Add a review

Your Rating